Uwepo wa vimelea miongoni mwa watoto wenye umri kati ya miezi 6-59 wenye maambukizo ya ugonjwa wa malaria
Asilimia ya watu waliolala ndani ya chandarua chenye kiatilifu usiku wa kuamkia siku ya tathmini
Asilimia ya nyumba/vyumba vilivyolengwa na hatimaye kupuliziwa kiatilifu ndani ya miezi 12 iliyopita
Asilimia watoto wenye umri wa miezi 6-59 walioshukiwa kuwa na malaria na kupimwa kwa kipimo cha utambuzi cha haraka
Asilimia ya watu waliokiri kusikia au kuona ujumbe kuhusu ugonjwa wa malaria
Asilimia ya watu wanaofahamu mbinu za kukabiliana na ugonjwa wa malaria
Asilimia ya maeneo ya tathmini ya stadi za wadudu yaliyotoa taarifa
Asilimia ya maeneo elekezi yenye kutoa taarifa za ufanisi za mbu wenye usugu wa viatilifu